Ndugu watumiaji wa tovuti ya mzibo.net. Tuko katika harakati za kukarabati sehemu ya wageni (forum) ili tuweze kukidhi mahitaji ya utumiaji wa tovuti hii katika hali ya heshima. Kwa kipindi hiki cha ukarabati, tunawashauri mtembelee tovuti ya www.jamiiforums.com ili mwendelee kutoa michango yenu. Tunaomba msamaha kwa usumbufu huu. Asanteni.