Daz Nundaz Family - Kamanda
Uzinduzi wa DazNundaz Family utafanyika Tuesday tarehe 25-05-2002 katika ukumbi wa Diamond Jubilee Hall, Dar es Salaam. Show inatarajiwa kuanza saa 21:00 onward.
Pamoja na Daz kutakuwa na wasanii kama
H.B.C & Jay - Niamini
Mwanafalsafa - Showtime
Wagosi Wa Kaya - Kero
Waswahili - Kila Mtu Na Starehe Yake
Wachuja Nafaka under Sir Nature - Mzee wa Busara (Hot Truck in Town)
Crazy G.K. - Sister Sister
Afande Sele - Mayowe II
